Posts

Showing posts from August, 2020

Yupi Anayefaa, Tajiri ila Hana Muda na Mimi au Mwenye Uwezo wa Kawaida ila yupo Nami Muda Wote

Image
Kama kichwa cha Habari kinavyojielezea mimi ni binti mrembo tu Nina kaxi yangu nzuri Namshukuru Mungu, nimepita kwenye mahusiano kadhaa changamoto hazikosekani Nimekutana na wenye uwezo wanaoweza kanipa Nitakacho na wenye uwezo wa kawaida tu. Nilichojifunza ni kwamba Unaweza kuwa kwenye mahusiano na mtu Anaejiweza akakupa kila utakacho ila hana muda na wewe hamna out wala muda wa kukaa mkayajenga hata mazungumzo ya kawaida maana mimi ni mpambanaji Mkikutana ni show basi siku zinaenda mwaka umekatika hamna la maana na sio kwamba anamahusiano mengine Hapana ingawa Mwanaume huwezi msemea ila ni mtu ambaye uko nae huru ila yuko busy muda wote hawezi kujenga muda kwa ajili yako ila muda wa kufanya mengine kama kwenda Bar, karaoke nk anao Pili Mwanaume Ambae hawezi kukuhudumia kwa chochote mnapata muda wa kuzungumza kushauriana kupanga Mambo ya maendeleo ingawa hamuwezi kwenda out nk kutokana na kipato ila mapenzi mnayafurahia hata kwa kukaa ndani tu coz mimi sio mtokaji na haijawahi kunipa ...

Ni Kweli Wanawake Wamewazidi Wanaume Kwa Mambo Haya 10?

Image
1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume. 2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao. 3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli. 4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa Siku. 5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara Nyingi Huwa Inawaponza. 6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote. 7. Wana Uwezo Wa Kuishi Na Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala Biashara Yoyote. 8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu Vya Kwanza Kufikiria Wakitaka Kutoka. 9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye Mapenzi. 10.Tupia Nyingine Unayodhani Nimeisahau…

Wanaume Mnaoingia Chumvini Kwa Mwanamke Mna Roho Ngumu Hata Bomu Mnaweza Meza

Image
Mimi nachukulia kitendo cha kuingia chumvini kama kujitoa mhanga, unahitaji ujasiri wa juu sana kujitoa mhanga, kutembea na bomu mfukoni au kujifunga suicide belt. Wanaume wenzangu mnaoingia chumvini mnaweza kujitoa mhanga kwa urahisi sana maana sidhani kama kuna ujasiri mwingine unahitajika wa kujitoa mhanga zaidi ya ujasiri unaohitajika kuzama chumvini. Mimi binafsi heri nife kwa kukaangwa kwenye mafuta ya transfoma kuliko kuzama chumvini. Wanaume mnaozama chumvini ni rahisi sana kwenu kujitoa mhanga, ujasiri mliona wa kuzama chumvini tena wengine wanazama mwanamke akiwa period na wengine wanaenda mbali zaidi wanaruka ukuta kuingia kule kunakotolea uhalo na unakuta mtu anaharisha ni ujasiri mkubwa kuliko ujasiri wowote niliowahi kuona. . Hivi ni ushamba /ujanja kuzama chumvini… Tuelezane Hapa jamani .

UNAMTONGOZA, Anasema Anakuchukulia Kama Rafiki, Unajua Kwanini?

Image
  “Hataki muwe zaidi ya hapo, anakuchukulia kama rafiki!” Stori inakwenda hivi; baada ya kumwangalia kwa muda mrefu, huyumwanamke anambae anakuuwa pole pole kwa mvuto wake, ambae anakila kitu ambacho wewe macho yako kwako unaona ndo kile kinachoitwa na kutengeneza uzuri usiopimika, ubongo wako unaamini ya kuwa mnaendana kwa kila kitu ila kinachokuchanganya ni wewe kutokua na uhakika iwapo na wewe unampendeza yeye, Kijana wa watu unajituma na kupiga moyo konde, leo hii unajikaza kiume na kwenda kumwambia yale yote yaliyo moyoni mwako… mara… ‘kwaaa…’ anakujibu, “Oho, lakini mbona mie siku zote huwa nakuona na kukuchukulia kama rafiki, kama rafiki.. rafiki tu!”, moyo unapigwa na radi ya maumivu, na huamini kilichokupata, huku kichwani sauti ya “kama rafiki” ikijirudia rudia!. Kama kungekua na kitu cha kuzuia hii dhihaka, ungetumia na kurudisha muda nyuma, kiume.com tumekusanya dalili zote za kuangalia kabla ya kupiga moyo kode na kwenda kumwambia yanayokusibu moyoni… Anajiamini sana a...