UMUHIMU WA KELELE KITANDANI NA JINSI YA KUPIGA KELELE (KUNUNG'UNIKA KWA MAHABA)



📢Kwa mwanaume hakuna kitu kinakuwa sexy kama mwanamke ambaye anakuwa loud kitandani na si kuwa na vikelele tu bali kujihusisha moja kwa moja kwa mwanamke katika kuongea maneno matamu
(wengine huita dirty words hata hivyo hakuna dirty words hapa isipokuwa sweet words)
📢Mwanaume akiwa kwenye game anapenda sana kujua mke wake anajisikia vizuri kwa kile anafanya na kwamba mwanamke anaonesha total participation, pia vile mke unatamka jina la mume wako kwa manung'uniko ya kimahaba huleta raha sana pamoja na vikelele vingine kama vile ooooh! aaah! mmmh! nk humpa uwezo zaidi mume kuendelea kukurusha kwa namna ya ajabu na kuweza kukurishidha inavyotakiwa.
📢Kawaida mume huaanza kukuuliza kama kile anafanya unakipenda na kwa njia ni vizuri wewe mwanamke kumweleza vile unajisikia na unaweza kuji-express kwa uwezo wako wote na hapa ndipo unaweza kuongea sweet word zote (ulizojufunza au kadri feelings zako zinavyokupa taarifa kwenye kiungo kile kinapata raha au kinaguswa kwa mguso mtamu zaidi) si unajua mapenzi ni sana na msanii mzuri anajua nini aongee na aongee namna gani na mwanamke umejaliwa kuwa na sauti ambayo kwa miguno na kulalamika kimahaba mnaweza kuwa na sherehe nzuri sana ya kuwa mwili mmoja.
📢Kuwa kitandani ni opportunity kubwa sana mke kuweza kuonesha umaridadi wake haina haja kushona mdomo au kubaki kimya kama vile mume amelala na gogo badala jitume kwa maneno na matendo, huu ni uwanjawako, mume wako, jipe raha na enjoy raha ya mwili.
Piga kelele kwa raha zako na unaweza kutamka kitu kizima kizima bila woga maana huyo ni mume wa ujana wako,au mpenzi wako
📢Wanaume nao wakati mwingine huwa insecure kama wanawake wakiwa kitandani hivyo kumtia moyo kwa miguno na vikelele vya kimahaba huweza kumpa ushahidi kwamba una-enjoy kile anafanya na kwamba skills zake na utaalamu wake mke unampa credit naye atajisikia vizuri na kufanya zaidi na hata kujifunza siku nyingine afanye kwa ufundi zaidi.
Hivyo usiogope kuwa mbunifu, lazima uwe mshangiliaji mzuri kwenye mechi na mumeo na hiyo itakuhakikishia furaha zaidi wakati wa kuwa mwili mmoja.
📢Mambo ya kuzingatia
Hata kama wanaume huwa tunafurahia sana mke kuwa noise kitandani ni muhimu kuwa makini na sauti kwani kupiga kelele kama unapigwa na majambazi si ustaarabu kwani mtaa mzima unaweza kuhamaki na kuja kutoa msaada kumbe watu mnapeana raha zenu au mnaweza ku-attract mijitu inayopenda kupiga chabo bure.
Ni vizuri hakikisha chumba kina Mfumo mzuri wa kuchuja sauti kwani mnaweza kushtakiwa kwa kuzingatia kifungu cha sheria cha Antisocial behaviour order kwani baadhi ya nchi zinafuata na mnaweza kuishia jela au mkajenge nyumba yenu huko shamba mpigiane mikelele yenu.
Wanasayansi wanasemaje kuhusu mwanamke kupiga kelele kitandani?
Wanasayansi wa kijerumani katika utafiti wao wamegundua kwamba mwanamke anapokuwa na kelele kitandani wakati wa kuwa mwili mmoja mwanaume huwa na asilimia 59 za kukojoa (siyo mkojo) tofauti na asilimia 2 kwa mwanamke kuwa kimya na pia mwanamke huwa na kilele zaidi kitandani akiwa fertile na kwa mwanamke kuwa na kilele speed ya mwanaume na uwezo wa kusugua huongezeka
📢Sasa mkiwa kimya tu jamani ukute kitanda ndo kile cha kwinyokwinyo si ndo balaa maana utakuwa husikilizii raha unakilaani kitanda tu hiki nacho mpaka majirani wajue kama tunakula raha !!!
📢kama.mnaona aibu kuongea basi kama chumbani kuna redio wekeni mziki wa taratibu uongee badala yenu 👌🏼
📢Maneno ya mahaba jamani ndo mafuta tosha ya kuendesha hilo gari lenu la mahaba 👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼

Comments

Popular posts from this blog

Ingiza Popote Bosi...

Jinsi Ya Kurespond Baada Ya Mwanamke Kukukataa

Faida Tano Muhimu za Wewe Kulala Bila nguo